Sauti Ya Cabo Delgado 01.12. 2022

--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 01,Desemba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

๐Ÿ”ธ Mwanajeshi wa Botswana amefariki akiwa kwnye misheni ya SADC uko Nangade.

๐Ÿ”ธ Bado mapema kwa jeshi la polisi kupambana na ugaidi mchini.

๐Ÿ”ธ Imefunguliwa tena bandali ya Mocimboa da Praia.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za fecebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:htts//iono.fm/e/1237576.

Plural media habari kwa lugha yako.
1 Dec 2022 4AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 23.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.02.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Wafanyabiashara wa Cabo Delgado wahofia kuongezeka kwa uvamizi wa magaidi ๐Ÿ”ธ Magaidi wachoma Lori naโ€ฆ
23 Feb 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20.02.2024. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa: ๐Ÿ”ธ Nyusi hajafirahishwa na onyo kutoka kwa ubalozi wa ufaransa kuhusu Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Gavana wa Cabo Delgadoโ€ฆ
19 Feb 11PM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 15.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Miradi ya gesi Huko Cabo Delgado yasababisha tofauti za kijami ๐Ÿ”ธ Magaidi washambulia Mazeze wilaya yaโ€ฆ
15 Feb 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 13.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 13.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Takribani wanajeshi 25 wa Mozambique wauwawa katika wilaya ya Macomia ๐Ÿ”ธ Ukosefu wa usalama unaongezeka kutokanaโ€ฆ
13 Feb 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 08.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Wilaya ya Metuge inawakaribisha zaidi ya watu 77.000 waliokimbia makazi Yao ๐Ÿ”ธ Urusi Iko tayari kusaidiaโ€ฆ
7 Feb 11PM 4 min