Sauti Ya Cabo Delgado 20.12. 2022

--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 20, Desemba,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

๐Ÿ”ธ Kampuni ya Rwanda imeshinda mkataba wa dolar 800.000 huko Palma.

๐Ÿ”ธ Takriban wavuvi 100 wamekwenda kuvua samaki uko mukojo.

๐Ÿ”ธ Wilaya za kusini mwa Cabo Delgado zinasajili kurudi kwa watu wengi waliokimbia makazi yao.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:htts//iono.fm/e/1237576.

Plural Media habari kwa lugha yako
20 Dec 2022 4AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 28.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.03.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Kutoka Kwa SAMIM kunapendelea magaidi, asema mtalamu ๐Ÿ”ธ Achilia watu waliotekwa nyara na magaidi hukoโ€ฆ
28 Mar 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Quissanga na Ibo wanasubir rasilimali kuletwa na ndege Kuanza sensa ๐Ÿ”ธ Marekani inapanga kuchangia dola milioniโ€ฆ
26 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Serikali hutoa bidhaa kwenye masoko baada ya uporaji wa magaidi ๐Ÿ”ธ Majeshi waimarisha doria katika ufuoโ€ฆ
21 Mar 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 19.03. 20244

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 19.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Nyusi aonya kuwa magaidi wataweza kugawanya inchi ๐Ÿ”ธ Mocimboa da Praia yapokeya meli ya kwanza yaโ€ฆ
19 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 14.03. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ CDD inadai uwajibikaji kutoka Kwa Namparas Kwa uhalifu dhidi ya mawakala wa kitengo Cha uchaguzi ๐Ÿ”ธโ€ฆ
13 Mar 4PM 4 min