Sauti Ya Cabo Delgado 24.01.2023

--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 24,januari,2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na mradi wa Cabo ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Video ambayo wanajeshi walichoma Maiti ilirekodiwa wilaya ya Nangade.

🔸 Magaidi wamijisalimisha katika wilaya ya Nangade.

🔸 Idade ya watu wa Palma wanataka ufungoliwe tena mpaka.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za Kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno,kimakonde,kimakuwa,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:htts//iono.fm/e/123756.

Plural Media habari kwa lugha yako
23 Jan 11PM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 23.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 23 Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu 🔸 Jumuiya ya wafanyabiashara inalalamika mikataba ya ujenze kwenda Kwa watu wa inje. 🔸…
23 Mar 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 21,Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi wamepanda Kijiji cha ulo wakitafuta chakula. 🔸 Hospitali ya Mocimboa da Praia na…
21 Mar 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 16,Machi 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu . 🔸 Majeshi Waliziwiya Jaribu lá kushambulia nsafara wa kijeshi huko Muidumbe. 🔸…
16 Mar 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 14.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 14,Machi 2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Mocimboa da Praia wanakarabati bandari âmbayo ilikaliwa na magaidi. 🔸 Watu…
14 Mar 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 09,Machi 2023,Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Vifo viwili vyathibitishwa katika shambulio la Mitope Mocimboa da Praia. 🔸 Watu…
9 Mar 12AM 4 min