Sauti Ya Cabo Delgado 19.10.2023
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 19.10.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Wawindaji wawili wamekatwa vichwa na magaidi katika wilaya ya Macomia.
🔸 Mungano wametoa maelezo ya nia ya mkataba wa mradi wa uhandisi katika eneo la Ruvuma.
🔸 Mamlaka zinatamani kuinua nguvu katika miradi ya gesi Huko Cabo Delgado.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde,kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.