Sauti Ya Cabo Delgado 24.10.2023
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 24.10.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Takribani asilimia 70 ya watu waliokimbia makazi Yao walirejea katika maeneo Yao ya asili .
🔸 Wavuvi wawili wamekamatwa katika wilaya ya Macomia .
🔸 Jumuiya inakemeya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wasichana na wanawake waliokimbia Vita.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avor.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.