Sauti Ya Cabo Delgado 26.10.2023

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.10.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Waasi wamewakamata watu Watano katika siku za ivi karibuni Huko Cabo Delgado.

🔸 Magaidi wazidisha matumizi ya vilipuzi mwezi Septemba.

🔸 Kashfa ya kifedha iliyoathiri wanajeshi abao wako Kaskazini.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avor.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285748 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
26 Oct 2023 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 09.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 09.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wa Mozambique na wa Rwanda wanawafatilia Magaidi huko Nampula 🔸 Magaidi walioauwa na Majeshi wa…
9 May 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado de 07.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07 Mei,2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Nyusi asema ugaidi hauwezi kuhalalisha kukatizwa miradi ya Gesi 🔸 ADIN inachagua makampuni ya watu…
7 May 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe,02.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wilaya ya Chiure, aina njia ya kuwahamisha watu waliokimbia makazi yao hadi vituo Vya Mapokezi 🔸 Polisi…
3 May 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Cabo Ligado inasasisha data ya Juu ya vifo katika shambulio la Palma mnamo 2021 🔸 SAMIM…
30 Apr 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Shambulio lá ki gaidi wauwawa watu watatu wilaya ya Chiure 🔸 Magali yalikuwa ayazunguki katika sehemu…
25 Apr 1AM 5 min