Sauti Ya Cabo Delgado 07.12.2023
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 07.12.2013.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Mkutano unakuza mazungumzo baina ya dini katika mji wa Pemba.
🔸 Ndoa za mapema uko Cabo Delgado inatia wasiwasi shirika lá save the children.
🔸 Miti inakatwa bila ya ruhusa kwenye hifhadi ya kitaifa
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au, tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.