Sauti Ya Cabo Delgado 23.01.2024

--:--
Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tareh 23.01.2024. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na kipinga tchitiwa Cabo Ligado.

Viswa vikulu ya habari ndivi:

🔸 Wachambuzi wa siasa wakwamini kamba vikidilika kupakanila na mashababi

🔸 Ndegue wa Afrika do Sul kamotesiwa kwa haraka campu ya ndege Pemba

🔸 Wanu estimula shipitali ya Pemba wankulalamika huduma mbaya

Zidini kuphata habari za mana za Cabo Delgado, kwa njila ya website www.avoz.org ema kwa ukurassa wa Facebook, njila za Telegrama ema novyo kwa podcast, ema kwa ujuzi wa Internet avoz.org

Sikiliza habari kamba ezi kwa luga djiss djiss kwa kupeleka ujumbe mu WhatsApp kila juma-anne na alkhamissi kwa kutumila +258 843285766, ncaty ya kuzungu, kimakuwa, kimakonde, Kimwani na Kijojo.

Plural Média- ndi habari kwa lugha yenu.
23 Jan 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 25.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Shambulio lá ki gaidi wauwawa watu watatu wilaya ya Chiure 🔸 Magali yalikuwa ayazunguki katika sehemu…
25 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi 🔸 Magaidi waachilia wanawake watatu wilaya ya…
23 Apr 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rubani wa Africa kusini na Polisi wa Mozambique wafariki katika ajali ya Ndege 🔸 Wanajeshi…
18 Apr 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe. 🔸 Semu ya Macomia na…
12 Apr 3AM 5 min